LYRIC
Aila- sambaza upendo (lyrics)
Verse1
Nakusalimu kwa upendo, nimekuja nina wimbo
Ninataka kukuimbia wee
Maumivu weka kando, tabasamu ndio pambo
Hukuponya ulipoumia wee
Hook
Furaha chukua moyo, peleka mbali
Mahali ambapo ndoto huzaliwaga
Nilaze kama pono, wala sijali
Nikiwa na wewe nitjimwaga
Pre chorus
Yalw unayotenda leo, pengine utatendewa kesho
You better show love
Chorus
Sambaza upendo, huku na huku
Show love here, show love there
Sambaza upendo huku na huku
Show love here show love there
You better show love
Verse2
Haunijui sikujui, ninachojua ni kusambaza upendo
Mchana asubuhi, taratibu sio majigambo.
Hunijui sikujui
Iwe mchana asubuhi
Hook
Furaha chukua moyo, peleka mbali
Mahali ambapo ndoto huzaliwaga
Nilaze kama pono, wala sijali
Nikiwa na wewe nitjimwaga
Pre chorus
Yalw unayotenda leo, pengine utatendewa kesho
You better show love
Chorus
Sambaza upendo, huku na huku
Show love here, show love there
Sambaza upendo huku na huku
Show love here show love there
You better show love
No comments yet