LYRICAila-Nipandishe (lyrics)

Verse1
Nimkande kiutani, mpenzi akinipakata
Kanga moja kifuani, taa tukizima na kuwasha
Baba we, usivue mkanda
Kama nikikosea, suluhu kitanda
Baby we, usiwe mtata
Simu nsipopokea, labda ni data

Hook
Mimi pekee ndo ninaelewa, utamu wake
Ananifinyanga nalainika, mi saizi yake
Mimi pekee ndo ninaelewa, utamu wake
Ooh ananifinyanga nalainika..

Chorus
Kama konda wa daladala ukinikuta kituoni nipandishe
Na kama nikipanda acha nipande kati kati usinishushe
Alee baba nipandishe, nipandie pandi,
Unipandishe
Nipandishe nipandie pandi, unipandishe

Verse2
Siku zangu za kalenda anamaliza yeye
Sijui ni hirizi kama ndumba aongezee
Akipiga simu napoteza network kabisa
Askari na filimbi ndani ya suruali yake..

Hook
Mimi pekee ndo ninaelewa, utamu wake
Ananifinyanga nalainika, mi saizi yake
Mimi pekee ndo ninaelewa, utamu wake
Ooh ananifinyanga nalainika..

Chorus
Kama konda wa daladala ukinikuta kituoni nipandishe
Na kama nikipanda acha nipande kati kati usinishushe
Alee baba nipandishe, nipandie pandi,
Unipandishe
Nipandishe nipandie pandi, unipandishe

Verse 3
Chuma cha moto chuma cha moto baby weee
Chuna cha moto chuma cha moto baby wee

Chorus
Kama konda wa daladala ukinikuta kituoni nipandishe
Na kama nikipanda acha nipande kati kati usinishushe
Alee baba nipandishe, nipandie pandi,
Unipandishe
Nipandishe nipandie pandi, unipandishe

  1. Leonardo Feliz

    April 8, 2021 at 7:50 pm

    Great.

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT