LYRICYour number one! Ninajipooza Angali najua, you are using me only Huna nia mbaya, that I know Ninajidanganya, nisiwe low

Ninajua ni mbaya na unanitenda ubaya Ili nishikwe na hasira, nikuache vibaya Ila nakupenda mbaya nakupenda mbaya
Na ninajua ubaya ila unanitenda vibaya Ili nilipe ubaya,
Ila nakupenda mbaya

Jinsi siwezi kukuacha, ndugu wanasema nimechanganyikiwa
Batani siendagi tena, nahofu marafiki nao watagundua
Nuru imenitoweka, mi nakutaka ila we hujatulia
Nyumbani siendagi tena, aibu wazazi nao wakigundua

Akishaanza nishika haniachi ananigusa kwa ustadi ya jana ninasahau Nikimshtakia ninayoyasikia anilaghai vizuri ninasahau

Ashanifanya mi nikaliaga Eaa liaa Eaa aah eh, Naliaga Eaa liaa ah eaa eh
Na sikomi yaani naliaga Eaa lia Eaa eh Naliaa Eaa Lia eah ah eh

Ni wasre of time, ila penzi lake ndo nataka
More and more because ni tamu
I know you are not mine
In the mean time can you let me enjoy your love With all I have

Jinsi siwezi kukuacha, ndugu wanasema nimechanganyikiwa Batani siendagi tena, nahofu marafiki nao watagundua Nuru imenitoweka, mi nakutaka ila we hujatulia
Nyumbani siendagi tena, aibu wazazi nao wakigundua

Akishaanza nishika haniachi ananigusa kwa ustadi ya jana ninasahau
Nikimshtakia ninayoyasikia anilaghaininasahau

Ashanifanya mi nikaliaga Eaa liaa Eaa aah eh, Naliaga Eaa liaa ah eaa eh
Na sikomi yaani naliaga Eaa lia Eaa eh Naliaa Eaa Lia eah ah eh
Nkalia, nkalia, nkalia we mama wee
Nkalia, nkalia, nkalia we mama wee

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT