Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/enlyrics/public_html/wp-content/plugins/ultimate-amp/ultimate-amp.php on line 836
Neema Ya Goligotha By Ed Patrick Mugisho - ENLyrics

LYRIC

[ad_1]

NEEMA Ya Goligotha By Ed Patrick Mugisho
Intro:
Ooh Neema yake Bwana imejifanya jinsi nilivyo
Hallelujah!
Uuh Yes Lord!
Ni Neema Neema Neema yako Yesu yanitosha
Chorus
Neema Neema Neema Neema yanitosha

V1. Uhimidiwe Mungu muumbaji usiye ruhusu muguu wangu usogezwe na adui kama vile milima inavyo zunguka yerusalemu ivyo ndivyo unavyo nizunguka siogopi hiiii!
Oh Hallelujah Neema yako yatosha Yesu Heh!
Uhimidiwe Mungu muumbaji usiye ruhusu muguu wangu usogezwe na adui kama vile milima inavyo zunguka yerusalemu ivyo ndivyo una nizunguka Baba siogopi

Chorus
Neema ( Oh neema ah)
Neema ( Neema yako Yesu imenifanya jinsi nilivyo)
Neema ( Nashukuru Bwana)

Neema (sio kwa nguvu zangu ila neema ya Bwana)
Neema (oh neema)
Neema ( yanitosha eeeh)
Yanitosha

V2. Mungu kwangu ni kimbilio msaada uonekanao tele wakati wa mateso
Kweli siogopi ninaye Mungu kamanda wa vita
Heh hallelujah Yesu Unaweza yote
Mungu kwangu ni kimbilio oho msaada uonekanao tele eh wakati wa mateso ooohooo hallelujah
Kweli siogopi ninaye Mungu kamanda wa vita

chorus
Neema ( Oh Neema )
Neema ( Neema ya Bwana )
Neema ( oooh ho ho heee)
Neema ni neema
(Sio kwa ujuzi wangu)
Neema (Sio pesa zangu)
Neema ( Sio masomo yangu)
Neema ( ila Neema ya jehovah)

(Sina chaku jivunia ila Yesu wangu)
Neema (Yesu wewe ndie yote ndani ya yote na katika yote Bwana) hooo
Neema ni neema
(Neema ya goligotha)
Neema ( ime ni inua)
Neema ( ime nibariki)
Neema ( ime ni ponya)
Neema yanitosha
Hallelujah
Thank you Jesus
Thank you Jesus Hallelujah

[ad_2]

  1. Edward

    February 19, 2022 at 2:20 pm

    The beats though ?.

Your email address will not be published.

ADVERTISEMENT