Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/enlyrics/public_html/wp-content/plugins/ultimate-amp/ultimate-amp.php on line 836
Nakupenda Yesu By Ed Patrick Mugisho - ENLyrics

LYRIC

[ad_1]

NAKUPENDA YESU By Ed Patrick Mugisho

Intro: Simoni Petro akasema: Bwana twende kwa nani tena? Wewe unayo maneno ya Uzima wa Milele

Verse1: Jambo moja, Jambo moja, ninalo litaka nitembeye nawe siku zote za maisha yangu, Ninalo litaka, nikae nyumbani mwako siku zote za maisha yangu.
Jambo o moja wo wo wo wo
Jambo moja!
Ninalo litamani nitembeye nawe siku zote za maisha yangu

Chorus: Nakupenda Yesu
Nakupenda
Nakupenda Yesu
Kwa moyo wangu wote
Ah Yesu wewe ni mwema…
Nakupenda Yesu
Nakupenda
Nakupenda Yesu
Kwa moyo wangu wote

Verse2: Hakika Yesu unanipenda ah pia mimi nakupenda kwa moyo wangu wote, wewe rafiki mwema Baba, Wewe mchungaji mzuri iii ,jemedari wa vita , dereva wa maisha yangu Yesu, ngao, tegemeo, msaada wakati wa shida ni wewe Yesu uuuh

Chorus: Nakupenda Yesu
(Nakupenda Bwana ah)
Nakupenda
( Moyo wangu wakutamani kila wakati)
Nakupenda Yesu
Kwa moyo wangu wote
(Nikiwa na wewe siogopi kitu Baba eh)
Nakupenda Yesu
(Sita kuacha Bwana)
Nakupenda
( Milele na Milele wewe ni mwema Yesu)
Nakupenda Yesu
( wo wo wo wo wo wo Hallelujah Hallelujah!)
Kwa moyo wangu wote

Bridge: Aliye mtoa mwanaye wa pekee kwa ajili yangu
Ndiye Mungu wangu
Aliye umba mbingu na inchi na vyote
Ndiye Mungu wangu
Mungu wa Abrahamu,Isaka na Yakobo wo wo wo
Ndiye Mungu wangu
Aliye ni umba kwa mfano wake
Ndiye Mungu wangu
Aliye vusha waisraeli bahari ya shamu eh
Ndiye Mungu wangu
Aliye mshindia Daudi mbele ya Goliati eh
Ndiye Mungu wangu
Aliye mupa Esta kibali mbele ya mfalme
Ndiye Mungu wangu
Mungu afanyaye njia pasipo kuwa na njia eh eh
Ndiye Mungu wangu

Hallelujah Hallelujah!

Chorus: Nakupenda Yesu
( uliye nipenda kabla sija zaliwa)
Nakupenda
( Ukanifia msalabani Yesu mimi ni nani?)
Nakupenda Yesu
Kwa moyo wangu wote
(Nakupenda Baba)
( Upendo wako wa ajabu Yesu)
Nakupenda Yesu
( Nikufananishe na nani?)
( Moyo wangu wakutamani Bwana)
Nakupenda Yesu kwa moyo wangu wote
( wakati wote nikae na wewe).

[ad_2]

  1. Sophie

    September 1, 2021 at 5:06 am

    Lyrics are very meaningful.

Your email address will not be published.

ADVERTISEMENT