LYRICAila – Mndani Wangu (LYRICS)
CHORUS
Ninavyotaka ananipa
(Nikiwa nae naspendi) good times (Nikiwa nae naspendi) Ninavyotaka ananipa
(Nikiwa nae naspendi) I feel special (Nikiwa nae naspendi)
VERSE 1
Dunia tairi limenipeleka sipo nilipo-
Tegemea ntafikaga
Ni baraka au neema kuvuka mapito
Na mateso nlopitiaga
Ningetamba ila kwetu tumekatazwa ni mwiko Si Ndo laana inaitwaga
Kukupata wewe ni bahati na sito-
Ichezea hii nafasi
HOOK
Mndani wangu ni wewe,
Nina moyo wangu ila unamilki wewe. Uwe wangu milele
Ili watoto wangu wawe wangu na wewe
CHORUS
Ninavyotaka ananipa
(Nikiwa nae naspendi) good times (Nikiwa nae naspendi) Ninavyotaka ananipa
(Nikiwa nae naspendi) I feel special (Nikiwa nae naspendi)
VERSE 2
Ni wewe nilikua nangoja
Nimefall, nishafall na nitafall everyday Maishani tuwe pamoja
Unajua nimefall na nitafall everyday
Ni wewe nimekungoja
Na nishafall nimefall na nitafall evereday Nilinde tuwe pamoja
Soo inlove nimefall na nitafall
HOOK
Mndani wangu ni wewe,
Nina moyo wangu ila unamilki wewe. Uwe wangu milele
Ili watoto wangu wawe wangu na wewe
CHORUS
Ninavyotaka ananipa
(Nikiwa nae naspendi) good times (Nikiwa nae naspendi) Ninavyotaka ananipa
(Nikiwa nae naspendi) I feel special (Nikiwa nae naspendi)

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT