LYRICMoto wako Roho wako Mtakatifu
Atawale Maisha yetu X 2
Wahitaji ibada safi inayokubalika
Ili ushushe Moto wako

Chorus
Ibada safi X2 inayokubalika ni ibada ya Roho wako, Moto wako ni Roho wako Mtakatifu aletaye ibada safi.
Unifanye madhabahu ushushe Moto wako nikuletee ibada safi.

Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika na Moto uliopondeka
Wewe umesema kamwe hautaudharau Moto huu uliopondeka
Chorus

Climax
Unifanye madhabahu, madhabahu yako
Unijaze Roho wako Roho Mtakatifu
Sadaka zangu uziteketeze ziwe manukato mbele zako
Sadaka zangu za sifa
Uziteketeze ziwe manukato mbele zako
Sadaka za kuabudu
Uziteketeze ziwe manukato mbele zako
Nope kibali mbele zako Bwana
Uziteketeze ziwe manukato mbele zako

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT