LYRIC

[ad_1]

Me ni mghetto nimezaliwa ghetto
Na hakuna kitu c jui kushusu ii ghetto
Ghetto yangu 44 asante sana
Kunilea 2 ka mrasta
Kunilea 2 kutafuta 2 ganji
Hustling hard ndio slogern, na politics ndio ndio mission ya mtaani
Ka hujui hivyo kuja 44, bythe way ukikam ukiwika 9, we batisa
Kupiga wera mtaa yote unasinya
Kijifanya kalulu ka john senar
Ety unadai una nguvu ka underkonda
Kula yako achana ya wenyewe
Utamadwa uhandwe ka dogi

DJ miky, , olamide olamide silent
Buda me ni mgenge mi ni parent

Smoulder_ganv

[ad_2]

  1. Margaret

    May 24, 2022 at 8:46 am

    The food is all disgusting

Your email address will not be published.

ADVERTISEMENT