LYRIC

[ad_1]

Furahini Katika Bwana By Ed Patrick Mugisho

Halleluya!
Kabla hamja ni ita nitajibu, pia mkiwa katika kunena nitasikia asema Bwana wa majeshi… Amen!

Furahini katika Bwana,siku zote furahini
Furahini katika Bwana,tena nasema furahini
Furahini katika Bwana, siku zote furahini
Furahini katika Bwana, tena nasema furahini

Tafuteni kwanza ufalme wake Mungu na mengine yote mutazidishiwa
Tafuteni kwanza ufalme wake Mungu na mengine yote mutazidishiwa

Furahini katika Bwana siku zote furahini
Furahini katika Bwana tena nasema furahini
Furahini katika Bwana siku zote furahini
Furahini katika Bwana atawapa haja ya myoyo yenu

Msijisumbue kwa jambo lolote bali katika yote kwa kuomba kusali na kushukuru haja zenu zijulikane na Mungu
Musijisumbue kwa jambo lolote ninyi bali katika yote kwa kuomba kusali na kushukuru haja zenu zijulikane na Mungu
Ingawaje matatizo ya dunia hii mama wewe kaza mwendo amini Mungu wako yeye ni mwaminifu, yeye atakuokowa
Ingawaje shida baba yangu panguza machozi usilie, Mungu wetu ni mwaminifu tazamia msalaba atakuokowa hehehe aaah
Tafuteni kwanza (baba tafuta kwanza)
Ufalme wake Mungu ( oooooh! mambo ya dunia ni yake)
Na mengine yote
(pesa,dhahabu, Mali yote ni yake) mutazidishiwa

(nitakula nini? nita vaa nini?)
Tafuteni kwanza
(pesa ya kulipa nyumba itatoka wapi?) Ufalme wake Mungu
(Karo ya shule itatoka wapi?)
(Wachia Mungu…..)
Na mengine yote mutazidishiwa
(tazamia msalaba ingawaje jangwa Mungu atakuokowa usijali)
(He! Panguza machozi)
Furahini
(Ooooh!)
(Panguza machozi )
Furahini
(Ingawaje magonjwa,
Ingawaje matatizo )
Furahini katika Bwana
(Ingawaje shida)
(Wewe furahi)
Siku zote furahini
(baba panguza machozi)
Furahini
(mama panguza machozi )
(Kijana mwenzangu )
Furahini
Heh!
(Furahi katika Bwana)
Furahini katika Bwana
(Yeyeyeyeyeye!)
Siku zote furahini

(Ingawaje matatizo)
Furahini
(Ingawaje shida)
(Woooh!)
Furahini
(Wewe amini Mungu wako)
Furahini katika Bwana
(Halleluya !)
(Stahimili Kama Ayubu )
(Mungu ni mwaminifu )
Siku zote furahini
(Halleluya!)

Wafilipi 4:4
Matayo 6:33
Zaburi 37:4

[ad_2]

 1. Kyle

  December 14, 2021 at 1:40 pm

  Who is song this beautiful music during quarantine.

 2. Gabriela

  July 3, 2022 at 4:04 pm

  Hay my name is anggraini zahra?

 3. Leo

  August 20, 2022 at 4:43 am

  This song has unlocked so many memories.

Your email address will not be published.

ADVERTISEMENT