LYRIC
[ad_1]
ASANTE By Ed Patrick Mugisho
LYRICS
(Mark 10:47:53/ Isaya 41:10)
Intro:
Nimeona ni lazima niseme Asante
Kwa yote umenitendea nashukuru uuh
Mungu wangu
Kwa yote umenitendea nashukuru
Eh!!!!
Chorus:
Asante, Asante, Asante nashukuru
Asante, Asante, Asante, nashukuru
Verse1:
Nilikua katika giza kama kipofu bartimayo
Sikujua nitokapo wala niendako hoooh!
Shida za maisha ziliniweka katika ufukara kubwa
Dhambi zangu zilinitenga nawe eh
Nikalia Baba Baba Baba Baba uniokoe
Kama mwana mupotevu umenirejesha ah
Nasema asante kwako Bwana
Nasema sifa kwako oh
Pokea sifa milele, milele, milele na milele
Hoh asante Bwana
Chorus:
Asante, Asante, Asante nashukuru
Asante, Asante, Asante, nashukuru
(Eih asante Bwana Bwana ah, umenitoa mbali Baba heh, umenitendea mema Yesu uuh,Umeniokoa nama adui zangu Bwana,Umeniponya magonjwa Jehovah Shammah,Familia nzuri umenipa Baba
He! Nasema asante eh)
Bridge:
For everything you have done for me
I just wanna thank you uuh
For all you have done for me
I just wanna thank you Yaweh
For all you have done in my life
I say thank you uuh
For everyrhing you have done for me i thank you
Jesus i say thank you
Thank you, Thank you, Thank you
I just wanna thank you
( I say thank you yaweh eh,Daddy, Abba father thank you,Eh! I say thank you, My redeemer, My number one, my savior, my protector, oh! You are all to me, Eh! I thank you
Verse2:
Nitakufuafa Bwana
Nitakutumikia
Nitakuabudu Bwana aah
Siku zote za maisha yangu
Nitakufuata Bwana
Nita tangaza pote
Kwamba wewe unaweza, unaokoa
He! Asante Bwana
Chorus:
Asante, Asante, Asante nashukuru
Asante, Asante, Asante, nashukuru
(Baba nakushukuru, Asante kwa kazi ya msalaba Bwana, hapo nimepata urejesho, nita tangaza kwa mataifa yote,kwamba wewe ni mwema Bwana,Hallelujah, Hallelujah,Hallelujah, Ooh asante Baba asante, Eeeeeeeeeeeeeeeh, umeniondolea mulima Baba, Yo! Eh! Baba, nashukuru, kwa moyo wangu wote nasema asante, pokea sifa milele na milele, He! Wewe ni mwema, wewe ni mzuri Daddy,
Kwa yote umenitendea)
Kwa yote umenitendea nashukuru
[ad_2]
No comments yet